miongoni mwa ngoma kali zinazonifanya nione nyimbo za sasa kama zunguka ya zuchu nione ni uchafu na upumbafu na upuuzi .nyimbokali kama hii hadi chozi linatoka noma sana nyie wakali kwanza mlivyokuwa mmejichagua mkatafuta jina linalofanana na nyinyi mlikuwa wakali kweli nona sana and i never stop litsening this music
Ndio walioharibu muziki hao: Diamond, Zuchu, Baba levo, Whozu, Billnas, Baddest, Rayvanny, Mbosso, Lavalava,chino wanna man na takataka zingine zimetuletea uchafu mwingi sana
Huyu jamaaa QJ ameokoka.tuko nae church
Hii Ni 2024!!!ckiza mpangilio wa hizo saut...alaf ckiza hyo beat ilivyopangwa asee!!!...
One of my fev song in my life!!!Ni hv nyimbo kali inaishi mileele jaman!!!
Hkuna vers kali yoyote Katika mziki wa wabongo kwa Dem aliyezingua Kama hii ya mwmba w kasikazin Jo makini.
mpangilio wa beat , vocal melody za QJ ,michano ya Joh makini old is gold
miongoni mwa ngoma kali zinazonifanya nione nyimbo za sasa kama zunguka ya zuchu nione ni uchafu na upumbafu na upuuzi .nyimbokali kama hii hadi chozi linatoka noma sana nyie wakali kwanza mlivyokuwa mmejichagua mkatafuta jina linalofanana na nyinyi mlikuwa wakali kweli nona sana and i never stop litsening this music
💯💯💯💯💯
Ndio walioharibu muziki hao: Diamond, Zuchu, Baba levo, Whozu, Billnas, Baddest, Rayvanny, Mbosso, Lavalava,chino wanna man na takataka zingine zimetuletea uchafu mwingi sana
Lakini C. Records wakatenda Kwa Kuachia biti kali
Wakali kwanza noma xana , ngoma Kali inanikumbusha Moment flan iv
Jamaa yetu bhana
Nowadays hakuna mziki mzuri watu wanatupigia kelele tu sikiza chupa ili kwa umakini watu walikua kazini natamani kama wimbo wenu mrudi tena
November 2024
Unapambana sana mwamba safi the old is gold
BBaa hatree hiii🤘🤘🔥🔥🔥
Wasanii wa sasa wa mchongo mno ckia wahuni hao
Na itaishi milele daima.
Nouma sana
Let's good music stay alive
Nakubali sana wakali kwanza
Warudi aisee
Wakali kwqnza ni unstopable areeef
Hii ni 2024,lakini Ngoma yamoto sana,hii ndio Bongofleva,mixing ya hatari..
Mimi sina makosa ila ni wewe kwani ungefanya wewe wajua .....
In the loving memory of Bongo Fleva. Back in the days when apples and blackberries were fruits and not gadgets
So sad n absurd now we are on musics of sham.
Kuna Hii Ngoma, Kuna Nimebaki Loney kuna Niite basi Mpenzi,
2023 Wakali kwanza This is Bongo flavor Og
Nzur Sana + Joh
Hata mimi nakuunga mkononni 🔥
kama kweli uchawi upo basi aliyeliloga hili kundi la WAKALI KWANZA aliuwa kipande kimoja cha miki mzuri
😂😢😢❤❤
😢2024
💯👊👊👊👊
2024...
NGOMA TAMU SANA TANGU 2007
2006